Talking about COVID-19

Jinsi ya Kuongea na watoto kuhusu Ugonjwa wa COVID-19

Kuwa unayetaka kuzungumza. Watakuwa tayari washasikia kitu. Kunyamaza na kuweka siri hakutawalindia watoto wetu. Uaminifu na kuzungumziana kutawasaidia. Fikiria jinsi wataweza kuelewa, kwa vile wewe unawaelewa vyema.

Video

Ikiwa hauwezi kutazama filamu hii, unaweza kuipakua.

Vitabu

Je! Una watoto wa miaka 4-7 ambao wanajali kuhusu #Covid-19? Hapa kuna kitabu kinachokupa msaada wewe kuongea nao kuhusu ugonjwa huu kwa njia ya kujifurahisha (Chanzo: Mindheart) Maelezo mwafaka kuhusu Covid-19 kwa watoto

Soma pia kitabu hiki kilichotolewa kuwasaidia watoto na vijana kukabiliana na #COVID19 Shujaa Wangu ni Wewe

Iliyotangulia Ifuatayo