Utafiti

Survey Graphic.png

Habari!

Timu ya Internet of Good Things (IoGT) ina maswali machache kwako kuhusu uzoefu wako wa kutumia tovuti hii. Maoni yako ni muhimu sana kwetu. Tafadhali jibu maswali katika utafiti ulio hapa chini. Itachukua dakika moja tu.

Majibu yako hayatatambulishwa na jina lako na maelezo utakayoshiriki yatatumiwa tu, na timu yetu ya utafiti ili kufanya IoGT ipatikane zaidi na kukufaa wewe kama mtumizi.

Asante!

Chagua moja

Je Jinsia yako ni ipi?

Je, una umri gani?

Chagua moja

Mahali ambapo unaishi ni ...

Chagua moja

Unafanya kazi gani?

Chagua moja

Je, ni mara ngapi umefikia taarifa kwenye tovuti ya IoGT katika mwaka uliopita?

Chagua moja

mimi natumia IoGT nikiwa …

Tia alama yote yanayotumika

Je, yepi kati ya yafuatayo yanakuzuia kutumia IoGT?

Chagua moja

Ninafurahia kutumia IoGT.

Chagua moja

Ni rahisi kupata taarifa ninayohitaji kwenye IoGT

Chagua moja

Taarifa kuhusu IoGT ni muhimu.

Tia alama yote yanayotumika

Ni mada gani kuhusu IoGT unaona kuwa muhimu?

Hiari

Je, kuna mada nyingine ungependa kusoma zaidi kuhusu IoGT?

Tia alama yote yanayotumika

Ni shughuli gani zingine ungependa kufanya, au kufanya zaidi, kwenye IoGT?

Nenda kwa ukurasa wa kwanza