Tukio la VVU

Leila amekuwa akifanya ngono bila kinga katika kipindi chote cha muhula wake wa kwanza katika chuo kikuu na ana wasiwasi kuwa anaweza kuwa ameambukizwa VVU. Alizungumza na rafiki katika bweni lake ambaye alisema kwamba mchungaji wake angemsaidia. Leila alimtembelea mchungaji ambaye alimuombea ili kuhakikisha kuwa VVU inaisha.

Je, Leila afanye nini?

Chagua moja

Nenda kwa ukurasa wa kwanza