Jaribio la Mapenzi Salama

Je, Virusi Vya Ukimwi ni sawa na Ugonjwa UKIMWI?

Chagua moja

Je, unaweza kupata VVU kwa kula chakula kwa pamoja?

Chagua moja

Kuwa na mpenzi mzee, tajiri ni hatari.

Chagua moja

Marafiki zangu hutumia dawa za kulevya. Dawa za kulevya zinazotumiwa kujifurahisha hazitanidhuru.

Chagua moja

Je, kuwa na VVU kunamaanisha kwamba utakufa?

Chagua moja

Je, kila mtu anapaswa kupimwa VVU?

Chagua moja

Je, ngono bila kondomu ni salama?

Chagua moja

Je, kujepuka kushiriki ngono ndilo chaguo pekee?

Chagua moja

Je, unaweza kupata mimba kutokana na kubusu?

Chagua moja

Nenda kwa ukurasa wa kwanza