Jaribio kuhusu Hedhi

Je, kipindi chako ni kamili? Soma sehemu ya Kuelewa Kipindi Chako na ujaribu ujuzi wako!

Je, mzunguko wa hedhi una sehemu ngapi?🤔

Chagua moja

Ikiwa damu ya hedhi ni kahawia au nyeusi, kuna tatizo. 😰

Chagua moja

Ikiwa hupati hedhi yako, kwa hakika wewe ni mjamzito. 🤔

Chagua moja

Je, ni njia ipi sahihi ya kujisafisha wakati wa hedhi yako?💦

Chagua moja

Nenda kwa ukurasa wa kwanza