Cholera-Prevention1

Jinsi ya kuzuia kipindupindu

Jikinge na jamii yako

1.Nawa mikono kwa sabuni na maji yanayotiririka:

  • Baada ya kutumia choo
  • Baada ya kumpangusa mtoto kinyesi
  • Kabla ya kutayarisha na kula chakula
  • Kabla ya kumlisha mtoto.
Cholera-Prevention1

2.Tumia choo wakati wote unapotaka kujisaidia. Hakikisha choo chako ni kisafi wakati wote. Funga mlango wa choo kila wakati.

Cholera-Prevention2
  • Chimba choo chako umbali wa mita 30 au zaidi kutoka kwa pahali pa kuchota maji.
Cholera-Prevention3

3.Hakikisha sehemu unayoteka maji ya kunywa imetunzwa vizuri. Kunywa maji ambayo yamechemshwa au kuwekwa dawa.

Cholera-Prevention4

4.Pika chakula hadi kiive vizuri na ukile kingali moto. Hakikisha vyakula vyote kimefunikwa na kuwekwa vizuri.

Cholera-Prevention5
  • Hakikisha mnakula vyakula vilivyopashwa moto wakati wote
Cholera-Prevention6
  • Hakikisha umeosha matunda na mboga vizuri.
Cholera-Prevention7
Ifuatayo