cholera-symptoms

Dalili za Kipindupindu ni zipi?

Jijulishe dalili za Kipindupindu

Dalili za ugonjwa wa kipindupindu ni kuharisha mfululizo na wakati mwingine kutapika kwa wingi. Hali hii husababisha mgonjwa kupoteza maji na madini mwilini na kuwa mnyonge.

Ukihisi dalili hizi tembelea kituo cha afya mara moja.

seek medical care
Iliyotangulia Ifuatayo