what is cholera

Kipindupindu ni nini?

Jijulishe ukweli kuhusu Kipindupindu

Kipindupindu ni ugonjwa hatari unaosababishwa na viini vinavyoenezwa kupitia kwa kinyesi. Kipindupindu husababisha kifo kati ya masaa matatu au manne mgonjwa akikosa kutibiwa kwa haraka.

Mtu anaweza kupata kipindupindu kutokana na kukunywa maji au kukula vyakula vilivyochafuliwa na viini hivi.

Iliyotangulia