Kujibu maombi ya picha
Nilikutana na msichana/mvulana nikampenda na sasa ananiomba nimtumie picha yangu. Sina uhakika kama kufanya hivyo ni jambo jema…?
- Zingatia kwamba utakapokuwa umemtumia mtu picha au video - ya aina yoyote ile – hutaweza tena kudhibiti jambo lolote litakalofanyiwa vitu hivyo. Picha au video vinaweza kusambaa kwa kasi ya ajabu katika intaneti.
- Unaweza kumuamini huyo mtu lakini endapo kwa bahati mbaya uhusiano wenu ukivunjika , au mkigombana au kama simu yako itaibiwa , picha au video uliyotuma vinaweza kutumiwa kukubughudhi au kukufanyia mambo ya kukuumiza.
- Ni vigumu sana kuondoa picha/video katika intaneti baada ya kusambazwa.
- Usifanye jambo ambalo utajalijutia.
Kidokezo cha intaneti kinachofuata:
Maoni 0
Tafadhali ingia au fungua akaunti yako
Nakala zinazohusiana
Kutumia intaneti katika kazi mradi
Unamfahamu mtu anayekuingiza?
Kuwa mtumiaji namba moja wa intaneti
© The Internet of Good Things