why

Nimeanza kupata hedhi! Ninapaswa kufanya nini?

Girl

Ninapata hedhi mara ya kwanza na sijui kitakachofanyika. Ninapaswa kufanya nini kwanza?

Parent

Hedhi yako ya kwanza ni ishara ya mabadiliko ya kawaida ya kimwili na hupaswi kuwa na hofu yoyote. Kwa kuwa ni mara yako ya kwanza, mwambie mzazi, ndugu mkubwa, rafiki au mwalimu unayemwamini. Wataweza kukupa maelezo na vifaa vya hedhi unavyohitaji.

Girl

Inaonekana kuwa si rahisi kutumia vifaa vya hedhi. Nitajuaje kifaa kinachonifaa?

Parent

Kumbuka...

  • Nawa mikono yako kabla ya kuondoka msalani na baada ya kubadilisha kifaa cha hedhi kila wakati.
  • Usitupe kifaa cha hedhi kwenye choo cha maji kwa sababu unaweza kuharibu mfumo wa maji taka. Kabla ya kukitupa kwenye pipa taka, kifunge kwa karatasi ya shashi.
  • Baada ya kipindi fulani, mzunguko wako wa hedhi utakuwa na utaratibu fulani na utaweza kuufuatilia kwa urahisi. Kwa sasa, hakikisha kuwa una vifaa vya hedhi katika mkoba wako kwa kuwa inaweza kuanza wakati wowote.

Una maswali zaidi kuhusu hedhi? Tuko tayari kuyajibu.

Iliyotangulia Ifuatayo